Gatete Njoroge alikuwa Israeli akiandamana na walimu 17 waliotajwa kama bora na wanafunzi wao kutoka sehemu tofauti nchini.